NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SITINI NA TATU(63)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Haraka timu hiyo ya watu watatu wakiwa kama makomando walianza kuzungukia maeneo hayo wakati huo Farudume hakuwa akijua kama Tinonko alikuwa hapo akimsaka mbaya wake Peter. Na laiti kama Farudume angejua kama Peter yupo hai sijui angefanya nini.
Wale makomando wakabana sehemu na kuangalia upya ramani zao, wakagundua kuwa ilionesha kuwa Tinonko alikuwa kwenye nyumba moja wapo, wakasogea taratibu karibu na jumba moja lililoonekana kama pagale wakajua ni hapo tu.
Waliposogelea taratibu upande ule wakasikia purukushani, wakapiga risasi ah kumbe alikuwa ni paka, Mlio wa risasi ile ulisikika vyema mtaa mzima hata nyumbani kwa Peter pia, ambaye alijua tayari Tinonko ameshafika nyumbani kwake, haraka akaamrisha baadhi ya walinzi wake wakimbilie nje na kushambulia kiumbe chochote kitakachokatiza mbele yao.
Ghafla milio ya risasi ikaanza kunguruma, wakajikuta makomando wa Farudume wanapambana ana kwa ana na wale walinzi wa Peter. Wakati huo Farudume alijua fika kuwa hapo ndipo Tinonko alikuwa akiishi, hivyo akashambulia kwa nguvu zote na kufanikiwa kuwaua wale walinzi wote waliotokeza nje.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.