NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SITINI NA SITA(66)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Farudume akiwa pale chini alishangaa nani aliyekuwa amemuokoa na kifo cha Peter? Mara nyuma yao akatokea mbwa mkubwa aliyemfuata Jackline na kuanza kumlambalamba kwa furaha. Wakati huo Tinonko alitokea na kumfungua kamba mkewe na kumtaka haraka akaingie kwenye gari.
Huku nyuma akabaki yeye na Farudume tu. Akamuangalia Farudume ambaye alikuwa amefungwa vyema kwenye nguzo kiasi cha kushindwa kujiokoa. 
Tofauti na tabia yake ya kujikweza kwa ubabe wa sauti na matendo , siku hiyo Faradume alionekana mpole mno.
Tinonko akanyosha bastola yake na kufyatua mguu wa kulia wa Farudume ambaye alilia kwa uchungu mno. Lakini alijikaza na kumtazama Tinonko kwa hasira.
“Tinonko hata ukiniua mimi, kuna watu kibao watakuja nyuma yako. Watakutafuta tu kwa sababu hakuna mtu mwingine aliyeenda Kongo na kurudi na mali zaidi yako wewe. wale Wazungu hawatakuacha hivihivi!” alisema Farudume lakini hiyo haikutosha kumkimbia malaika wa Kifo.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.