NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA TISINI (90)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wakiwa wanawaza wafanye nini kabla hawajafungua geti, askari hao walioonekana fika kuwa wametumwa wakaruka ukuta na kuingia ndani wakiwa na silaha za kutosha kama vile wanaenda kuvamia magaidi.
“mpo chini ya ulinzi!” alisema askari mmoja aliyewaoneshea bastola akina Tinonko huku wakati huo wengine wakizidi kuingia. Na kuwafungulia wenzao geti.
“kwani tumefanya nini afande,” aliuliza Tinonko.
“tumepata taarifa humu ndani kuna utekaji nyara wa mtu, tumekuja kuchunguza kama ni kweli,” alisema askari mmoja aliyeonekana kiongozi wa kikosi hicho.
“samahani mna waranti ya kupekua nyumba yangu,” alisema Tinonko yule polisi akatoa karatasi na kumuonesha Tinonko na akina Deo.
“sawa naona mmejipanga lakini simuoni mwenyekiti wa serikali ya mtaa au mjumbe, kwa sababu kisheria wanapaswa kuambatana na nyinyi ili isije mkanipandikizia vitu wakati mnasachi nyumba yangu,” alisema Tinonko yule afande akameza mate maana alihisi wakina Tinonko siyo watu wa kawaida maana wanaijua sheria.
“yah kweli ilibidi tuwe na mwenyekiti, lakini naona haina ulazima, kama haujamteka mtu kwanini usituruhusu tuingie,” alisema yule afande.
“Ondokeni sasa hivi kabla sijawabadilishia kesi ya uvamizi nyumbani kwangu, afande wewe unajua sheria vizuri, rudi ukiwa na mwenyekiti na nyumba nzima utaisachi!” aliongea Tinonko kwa ukali.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.