NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA THEMANINI NA SABA (87)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Basi Seba akajiandaa, akiwa amepewa fedha za kutosha akaenda moja kwa moja maeneo ya Kigogo Randabaa na kumuulizia mzee Mangungu ambaye huyu ni mtaalamu wa masuala ya nyoka aina ya chatu na amekuwa akiwakamata huko vijijini na kuwauza hapa mjini.
Wateja wake wengi wakiwa ni wanavikundi vya ngoma na wachina ambao huwatumia katika chakula.
Basi biashara hiyo ilimuingizia kipato chakutosha mzee huyu kiasi kwamba alikuwa na nyumba wake watatu na anasomesha watoto wake vizuri huku wale wakubwa wakijiunga naye katika kazi hiyo ya kukamata chatu huko porini.
Vitu ambavyo wengi hawajui kuhusu chatu ni kwamba, kwa Afrika ndiye nyoka mkubwa mno, mkubwa wake akiwa ni Anakonda ambaye hupatikana Brazil huko Amerika ya KUsini.
Chatu hana sumu yoyote hivyo ndiyo maana inakuwa rahisi kumkamata na vifaa maalumu na kumhifadhi. Lakini tofauti ni kwamba nyoka huyu huwa na nguvu mno kiasi kwamba akimkamata mnyama hujiviringisha kwake na kumvunjavunja mbavu na kumkamua kila kitu, hapo mnyama yoyote huwa mwembamba na huanza kummeza kwa kumuanzia kichwa chake.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.


ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.