NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA THEMANINI NA SITA (86)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wakati wakiongea hayo, huko ndani Rama alianza kulia kwa sauti, “Nitasema.. nitawaambieni yote tafadhali msiniue.”
Lakini badala ya akina George kumuachilia ndo kwanza waliendelea na kazi yao, kwa bahati nzuri Tinonko na Komando Deo walisikia, wakaingia ndani haraka.
“acheni mara moja!” aliamuru Kapteni Tinonko haraka wakina George wakaacha na kutulia wakisubiri.
“umesema unataka kuongea haya anza!” alisema Deo akimtazama Rama ambaye alikuwa hatazamiki.
“tumetumwa tuwaueni wote na kumteka mmoja wenu ili atueleze siri za mali mlizonazo na vyote mnavyovijua kuhusu Kongo,” alianza kusema Rama.
“nani aliyewatuma?”
“Luteni General Hashimu na Meja Generali Charles,” alisema Rama tena akafunguka kuhusu hadi ile barua waliyopewa ambayo ilikuwa na majina yao yakiwa yameandikwa na Farudume. Tena akawaambia hadi walivyomuua mdogo wa Farudume aliyepeleka waraka ule, Eddie.
“niliwaambieni Generali atakuwa amewekewa madawa tu, ili anyamazishwe. Si mnaona!” 
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.