NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SABINI NA NNE(74)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“hapana tusiingie hivyo, kama ni gaidi anaweza kuwa ameweka mabomu ndani,” alisema Afande aliyekuwa akiongoza kikosi cha polisi waliofika hapo na kuizunguka nyumba ya Kapteni Tinonko.
“afande, ndiyo maana nyinyi mpo hapa kuhakikisha hatulipukiwi ndani,” alisema kiongozi wa kikosi cha Usalama wa Taifa.
“Yule afande wa polisi akajikuta akishindwa kukataa, akawatuma maaskari wake watatu walioingia ndani kwa tahadhari wakiwa wamewasha radio zao wakiwasiliana na wenzao waliowaacha nje.
Wale askari watatu walipoingia ndani, walisikika wakizungumza kitu na ghafla milio ya risasi tatu zilisikika na watu wakipiga kelele kisha kukawa kimya.
“Vipi afande!” aliuliza kiongozi wa Usalama wa Taifa.
“sijui kuna nini. Radio zao hazipatikani, ina maana watakuwa wamekufa au?”
“Ni milio ya risasi tatu ndiyo iliyosikika, huenda watakuwa wote wamemuona huyo gaidi na kumpiga risasi kwa pamoja.”aliongea komando mmoja wa kizungu aliyeonekana anajua kiswahili.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.