NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SITINI NA MBILI(62)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Tayari kwa upande wake Peter alikuwa ameshampata mtoto wa Jackline, lakini hakuonekana kuridhika hata kidogo, hamu yake ilikuwa ni kumpata na Jackline mwenyewe lakini kwa ujinga wa watu wake wa kazi hiyo walishindwa. kufanya hivyo.
Lakini hakuwalaumu sana kwa kuwa sababu ilikuwa wazi ni yule mbwa. Sasa tatizo likawa ni kwa jinsi gani mtoto huyo mdogo atalishwa na kuvishwa na kupewa matunzo muhimu bila mama yake? ili mpango wa pili wa Peter kutaka mali za Tinonko utimie, akamtafuta mama mtu mzima kwa ajili ya matunzo ya mtoto huyo ambaye alionekana muda wote akilialia hovyo.
Akaangalia saa na kunyanyua simu yake akaweka laini mpya ya simu, kisha akachukua namba kutoka kwenye kikaratasi fulani na kumpigia simu Tinonko ambaye hadi muda huo hakujua kama alikuwepo ndani ya Arusha naye akimuwinda kwa udi na uvumba.
“Tinonko najua utakuwa haunijui, mimi ni Peter na wakati ulipokufa nilimuoa mkeo na kum..” aliongea Peter lakini kabla hajaendelea Tinonko akamkatiza na kusema; 

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.