NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SABINI NA NANE(78)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Waligeuka na kushangaa wakiwa wamezungukwa na wanajeshi.
“jitambulisheni sasa hivi!” ilisikika sauti ya mmoja wa wanajeshi hao. Haraka Komando George akataja majina yake na nambari yake ya jeshi, kisha akafuatia Deo, Beka na Hamisi na kwa pamoja wakaimba kwa sauti wimbo jeshi wa Uzalendo.
Wale wanajeshi wakashusha silaha zao chini, na kusogea karibu wakigundua kumbe ni makomando.
“Mtusamehe kwa huu utaratibu, tumekuwa tukijihadhari na waasi wanaovuka mipaka na kuingia nchini kila siku,” Alisema kiongozi wa brigedi ile ya wanajeshi baada ya kuwapigia saluti makomando hao.
“tupo wapi sasa hivi,” aliuliza Komando Beka. “mpo ndani ya kambi ya Bulombora, headquarter zipo maili 6 kutoka hapa.” Kabla Komando Deo hajaulizia kama kuna gari la kuweza kuwafikisha huko mara, radio ya kiongozi wa wale wanajeshi ilinguruma.
“kamanda, tumewakamata wazungu wanne nje ya boda wakiwa na rocket laucher, inaonekana walikuwa wakivizia kutungua ndege. Ova!

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.