NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SABINI NA MBILI(72)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Bila kupoteza muda wale makomando wa Kapteni Tinonko wakiongozwa na Komando Deo waliongozana kuelekea kule kwenye hazina ya Mbirikimo, lakini wakiwa makini kufanya mahesabu ya kuhakikisha hawawapeleki wazungu hao walioonekana kuwa na tamaa mno, lengo lao kuu lilikuwa ni kuzipata zile chopa zao ili waweze kurudi nchini mwao.
Wakatazamana na kupeana ishara, badala ya kuwapeleka kwenye chaka la Mbirikimo, wao wakaelekea kwenye fida ya mto Kongo inayoitwa mto Kibirigi ambao husifika kwa kuwa na mamba hatari mno wanaodaiwa kuwa ni wa mizimu.
Hapo wakataka kuwapitisha wazungu hao ili washambuliwe na mamba kisha wao warudi nyuma na kuzichukua chopa zao. Wakafika sehemu na kupaka majani fulani ambayo yalikuwa yakisemekana kuwafanya mamba hao wa kimizimu wasiwasogelee, hilo walijifunza kutoka kwa wenyeji wa Kivu.
“What are you doing (mnafanya nini)?” aliuliza Komando mmoja wa Kizungu. “Traditional thing, before we cross that river (mambo ya kitamaduni kabla hatujavuka mto)” alijibu Komando George yule mzungu akadharau kama ambavyo hudharau siku zote mambo ya kishirikina.UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.