NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SABINI(70)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“Weee! hivi unaniona mimi mtoto kwenye dili eeh? Hapo mwendo wa pasupasu,” alisema Linda wakakubaliana na Denis kuwa hiyo ni siri yao.
Wakati huohuo Denis akawa kama anakumbuka kitu, akafungua faili lake moja alilokuwa nalo kwenye begi na kuanza kulisoma.
“Linda, kuna huyu mtu wa pili nusura nimsahau, anaitwa Farudume, ndiyo ambaye wale wazungu walikuwa wamemtaja . Huyu ndiye ambaye Kapteni Rodrick alidai kuwa ni bosi wake na amepotea muda mrefu sasa kazini.
Sasa kwanini usiwasiliane na watu wako kutoka jeshini, tujue kuna uhusiano gani kati ya Tinonko na Farudume.
Baada ya kusema hayo, haraka Linda alinyanyua simu yake na kuwapigia watu kadhaa. Baada ya muda meseji ikaingia kwenye simu yake ikiwa na data za kutosha kuhusu Farudume, picha zake, historia yake jeshini na wapi alipoonekana kuwa na uhusiano na Tinonko.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.