MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » MHE: POSSI AWA MGENI RASMI MKUTANO WA WADAU WA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA UWASILISHAJI WA TAFITI MPYA ZA HALI HALISI YA ULEMAVU NA UZEE NCHINI TANZANIA.


Pamoja Blog 10/13/2016 12:08:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe. Dkt. Abdallah Possi akiwasilisha mada ya masuala ya Watu wenye Ulemavu wakati wa mkutano wa wadau wa masuala hayo walipowasilisha Matokeo ya Tafiti Mpya ya Ubainishaji Hali Halisi ya Ulemavu na Uzee Nchini uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano hoteli ya Serena Dar es Salaam Oktoba 12, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkalimani wa lugha ya alama Bw.Thomas Shayo akifasiri ujumbe kwa kundi la watu wenye ulemavu (wasiosikia) uliotolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe. Dkt. Abdallah Possi (hayupo pichani) wakati wa Mkutano wa wadau wa masuala la watu wenye mahitaji maalum uliofanyika katika Ukiumbi wa hoteli ya Serena Dar es Salaam.
Mtafiti Rika Shirikisho la Watu wenye Ulemavu Bi. Regina Mbaji akiwasilisha mada wakati mkutano wa wadau wa masuala la watu wenye mahitaji maalum walipowasilisha matokeo ya tafiti Mpya ya Ubainishaji Hali Halisi ya Ulemavu na Uzee Nchini Ukumbi wa Mikutano hoteli ya Serena Dar es Salaam.
Mshiriki Rika (kundi la wazee) Bi.Elizabeth Nkwera akitoa mada ya usawa wa huduma za kijamii kwa makundi maalum wakati wa Mkutano wa wadau wa masuala la watu wenye mahitaji maalum walipowasilisha matokeo ya tafiti Mpya ya Ubainishaji Hali Halisi ya Ulemavu na Uzee Nchini.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na baadhi ya wadau walioshiriki katika Mkutano wa kujadili masuala ya watu wenye mahitaji maalum uliofanyika katika hoteli ya Serena Oktoba 12, 2016, wa kwanza kulia ni Bi. Clotilda Isdori na katikati ni Bw.Elisha Sibale.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Mhe. Dkt. Abdallah Possi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wadau wa masuala la watu wenye mahitaji maalum ulioandaliwa na Mashirika ya misaada.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments