MFALME MOHAMMED WA MOROCCO AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MSIKITI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mfalme Mohammed wa Morocco akibusu Masahaf kabla ya kumkabidhi Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika hafla fupi ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti kwenye eneo la BAKWATA Kinondoni jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016. Kulia ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abukary Zubeir. Jumla ya Masahaf 10000 zilikabidhiwa na Mfalme huyo.(Picha n Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mfalme Mohammed wa wa Morocco, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Bilal wakiwa katika hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa msiki uliofnywa na Mfalme Mohammed wa Morocco kwenye eneo la BAKWATA, Kinondoni jijini Dar es salam Oktoba 25, 2016. (icha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mfalme Mhammed wa Morocco na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakishuhudia wakati Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeir (kulia) akitia saini Makubaliano ya ujenzi wa Msikiti kwenye eneo la BAKWATA, Kinondoni jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment
Powered by Blogger.