KONGAMANO LA ARDHI LA WANAWAKE KUFANYIKA MKOANI KILIMANJARO KUANZIA TAREHE 14 HADI 16 MWEZI HUU

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi(wa pli kutoka kulia) akisoma tamko kuhusu haki ya kumiliki ardhi kwa wanawake ikiwa ni maandalizi ya tukio kubwa la kimataifa likalofanyikia Kilimanjaro kuanzia tarehe 14 hadi 16 mwezi huu ambapo nchi nchi 20 za Afrika zitashiriki.

Mratibu wa Kituo cha usuluishi cha TAMWA, Bi. Gladness Hemedi Munuo akizungumza mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamko la Kuhusu kongamano la ardhi la wanawake wa Afrika litakalofanyika mkoani Kilimanjaro kuanzia oktoba 14 hadi 16 mwaka huu pamoja na kupanda mlima Kilimanjaro ili kuonesha kuwa mwanamke anauwezo wa kuliki Ardhi.
Meneja Kilimo na Haki ya Ardhi kutoka Action Aids , Elias Mtinda akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari leo katika ukumbi wa TGNP Mtandao.
Mkurugenzi wa Mradi wa TAWLA, Nasieku Kisambu akielezea jinsi wanayopata kesi nyingi za wakina mama kuhusu kunyang'anywa ardhi na pia kutopewa haki za kumiliki Ardhi katika jamii husika hasa vijijini.
Mkurugenzi wa TAWIA, Rose Sarwatt (katikati) akifafanua jambo
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi(katikati)  akijibu swali lililoulizwa na mwandishi wa habari

Baadhi ya watetezi wa wanawake pamoja na wanaharakati wakifuatilia kinachoendelea katoka mkutanooMkutano ukiendelea
Post a Comment
Powered by Blogger.