KOCHA WA TOTO AFRICAN LOGACIAN KAIJAGE AMETANGAZA KUACHANA NA TIMU HIYO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Kocha mkuu wa timu ya Toto African Logacian Kaijage, ametangaza kuachana na timu hiyo kwa kile alichokisema kuwepo kwa sababu za ndani ya timu zinazomsukuma kuachana na timu hiyo.

Kaijage akiongea na mtangazaji wa TBC One amesema
“Unajua mimi ni mwalimu mzoefu na timu inawachezaji wazuri japo siyo wazoefu kuna vitu ambavyo vipo ndani ya timu ambavyo siwezi kukwambia mtangazi kwaiyo naona hata nikisema niendelee kubaki patakuwa ivyo ivyo tu ambavyo kwangu vitakuwa ni vikwazo katika kufanya kazi yangu ya ukocha” Alisema Kaijege
Post a Comment
Powered by Blogger.