PICHA: KUTANA NA MWANAMITINDO WA KITANZANIA KAROLI MGOMBELWA ANAYEKUJA NA STYLE YAKE YA "MGOMBELWA BRAND"

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mwanamitindo Karoli Mgombelwa(kulia) akitoa ufafanuzi kwa Mwanzilishi na C.E.O wa Samaki Samaki, Bw. Carosi(kushoto)kuhusu moja ya nguo analizozitengeneza mwenyewe na kuziwekea brand yake ya Mgombelwa mara baada ya kuvalishwa na mwanamitindo huyo. 
Karoli Mgombelwa ni mmoja ya wanamitindo wadogo walioanza kwa kazi hapa nchini kwa kuja kitofauti kwa mavazi ya kisasa aliyoyawekea brand yake ya Mgombelwa hakika tunaweza kusema Tanzania kuna kiwanda cha kuzalisha vipaji. Kama vijana kamahuyu watasimamiwa vyema basi tutegemee makubwa ndani na nje ya Tanzania.
Mwanzilishi na C.E.O wa Samaki Samaki, Bw. Carosi akiwa kwenye mwonekano wa Mgombelwa Brand
  Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Linex naye amevalishwa na mwanamitindo huyo

 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Ben Pol akiwa amevalishwa na Mwanamitindo Mgombelwa.

Sio kwenye mavazi ya kawaida pia hata kwenye mavazi ya Harusi
 Endelea kutazama picha zaidi hapa chini


Post a Comment
Powered by Blogger.