NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA HAMSINI NA TISA(59)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Wakati huo Kapteni Tinonko alishangaa kwa nini mke wake hakufika hospitalini hapo, hata hivyo alimshukuru Dokta Aquinas kufika na hospitalini hapo haraka akiwa dawa ya siri ya ile damu ya mjusi maji wa bluu ‘blue newt’ ambapo alichanganya kwenye dripu na kumfanya Tinonko apone haraka kama ilivyotokea.
Dokta Aquinas ndiyo pekee aliyeaminiwa na Tinonko hadi kumpa baadhi ya siri zake zikiwemo hizo za madawa ya Kimbirikimo ambazo zilipelekea Dokta Aquinas kufanya utafiti mkubwa wa tiba hiyo ya asili ambapo alithibitisha maneno ya Tinonko hasa baada ya kumtibia siku hiyo.
“Kweli ndugu yangu umepona! sasa utamwambia nini mkeo akikuona katika hali hii, halafu akituona wote, si ndiyo atazidi kuogopa na kuhisi unamficha kuhusu kumuuguza mama?” aliuliza Dokta Aquinas wakati huo akimsindikiza Tinonko nyumbani kwake.
“Leo nimepanga kumwambia ukweli Jackline naona hana raha, japo hajaniomba msamaha lakini naona bora nimwambie kwamba nimeshamsamehe.”


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA IJUMAA

Post a Comment
Powered by Blogger.