MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SITINI(60)


Pamoja Blog 9/30/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Jackline akiwa na simba alikuwa akijishauri aelekee wapi kwa wakati huo, akaona sehemu pekee ni kurudi mkoani Arusha kwa wazazi wake, bila kujua kuwa huko ndiko Peter pia alikuwa amekwenda kupumzika katika nyumba zake alizonunua kwa fedha za utapeli pia ndipo huko alipokwenda kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa sura na kubadilisha muonekano wa uso wake. 
Baada ya masaa sita ya kusafiri, Jackline alifanikiwa kufika jijini Arusha na kutafuta hoteli ya kufikia, japo kuwa kwa wakati huo hoteli zilikuwa ngumu kupatikana kutokana na watalii kuwa wengi sana.
Mungu si Athumani, baada ya kuhangaika kidogo alifanikiwa kupata chumba na siku hiyo akalala huku simba akiwa pembeni yake ametulia tulii tofauti na mbwa wengine.
Jackline alifikiria kuwa mapema asubuhi atamtaarifu dada yake ambaye anaishi mbali na nyumbani kwa mama yake, ili afike kumuuguza kwa siri wakati akisubiria wiki chache zijazo za kujifungua.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMAMOSI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments