NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA HAMSINI NA NANE(58)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Huko nyuma tayari Jackline alipiga kelele walinzi na wafanyakazi wote wakajazana kupata taarifa za Juma kumvamia mke wa bosi wao chumbani.
Tayari wakajipanga kutoa taarifa polisi, lakini kwa kuogopa vyombo vya dola Jackline alizuia taarifa hizo kutofika polisi sababu kuu ikiwa ni maswali tata ambayo angekutana nayo ikiwa angebanwa kwenye chumba cha mahojiano.
Kwa mfano pale ambapo angetakiwa kujibu ilikuwaje Juma akajua kuhusu madini yaliyopo chumbani kwa mumewe?
Ina maana angekosa jibu kwa kuwa ukweli ni kwamba mwenyewe alimuonesha Juma na kumwambia kuwa yapo chumbani kwake. Na kama angekamatwa pengine Juma angefichua mpango wao wa kumuibia Tinonko na kukimbia.
Jackline hakutaka siri hiyo ivuje, lakini baya zaidi akajihisi mkosefu sana, akaanza kujishtukia mbaya zaidi kijua kilipochumoza tu mapema asubuhi alipata taarifa kutoka hospitali kuwa mumewe aliwashangaza madaktari kwa namna ambavyo amepona haraka sana.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA ALHAMISI

Post a Comment
Powered by Blogger.