MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA HAMSINI NA SABA(57)


Pamoja Blog 9/27/2016 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Akijua muda wowote walikuwa wakielekea kupata ajali mbaya Kapteni TInonko alichofanya kwanza ni kunyonga usukani kuelekea nje ya barabara. Wakati huo ambapo vitendo vilikuwa vikienda kasi kuliko kufikiria au kusema, Jackline alionekana kuwa na hofu iliyopitiliza.
Tayari Kapteni Tinonko alikuwa ameiseti gari kugonga mti kwa upande wake ili kuepusha majeraha upande wa Jackline. Kutahamaki gari ikaenda na kugonga upande uleule wa Tinonko, kisha likapinduka mara tatu na kugeuka juu chini.
Watu walioshuhudia ajali hiyo walikuwa na uhakika hakuna mtu atakayetoka mzima ndani ya gari hilo, lakini kwa mshangao waliweza kumuokoa Jackline akiwa mzima hasa kutokana na kuwa alifunga mkanda wake vizuri na air bag kumzuia vilivyo asijigonge.
Kwa upande wa Kapteni Tinonko alionekana amepoteza kabisa fahamu, huku upande wake wa kichwa ukiwa na jeraha kubwa lilitokana na mabati ya gari kumponda moja kwa moja kichwani mwake.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA

ITAENDELEA JUMATANO

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments