NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA HAMSINI NA SITA(56)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.“Sijui lakini nahisi ni madini, nimeona kuna sehemu alikuwa ameviweka vijiwe vingi pamoja. “hebu kalete vingine nivione,” Peter alisema akijua fika vijiwe hivyo ni lulu za thamani kubwa zaidi duniani, tena alivijua kwa sababu wakati Tinonko aliporudi kwa mara ya kwanza kule kambini, yeye na Farudume na wale jamaa wengine wawili walikuwa pamoja wakishuhudia Farudume akivichukua kutoka kwenye kikalabashi alichofika nacho Tinonko.
Peter akajua lazima Tinonko alirudi na mali hizo kutoka Congo, sasa akajiuliza kama Tinonko aliwezaje kurudi salama kutoka kwenye mikono ya Farudume?
“Juma, nimetafuta sijaviona sijui kavihamisha vingine?” alirudi Jackline mikono mitupu na jibu ambalo lilimuuzi Peter lakini alificha hisia zake.
Akafikiria harakaharaka akaona kama Jackline angevipata vijiwe vyote wangetoroka naye siku hiyohiyo lakini kwa kuwa amepata kijiwe kimoja tena kilichoonekana kuwa ni Ruby ndogo yenye makadirio kama milioni 700 akaona pesa hizo ni ndogo, akatamani kama akizipata zote na kuwa bilionea wa kutisha duniani.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.