NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA HAMSINI NA TANO(55)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Hali iliendelea hivyohivyo hatimaye mimba ya Jackline ilikuwa na kufikia mwezi mmoja tu kabla ya muda wa kutarajiwa kujifungua, Tinonko alionekana kuwa karibu kuliko kawaida na Jackline. Peter naye aliendelea kuwa kibaraka ndani ya familia hiyo na hata pale Tinonko alipokuwa akiondoka, yeye ndiye alikuwa rafiki mkubwa wa Jackline pale nyumbani kiasi cha kuongea na kucheka kama marafiki wa muda mrefu sana.
Kwa ukaribu huo, Peter akautumia kuanza kuchokoa mzinga wa nyuki waliolala akijaribu mipango yake, maana hakutaka kukaa hapo nyumbani kwa watu kama mtumwa milele.
Akamuuliza Jackline; “kwa hiyo mama kama huyu ni mumeo na yule Peter uliyeolewa naye hapa Morogoro je?”
Jackline kwa hasira akajibu; “Wee! Sitaki kabisa hilo jambo lijulikane. Na ufunge mdomo wako sitaki kukusikia tena. Huyu ndiye mume wangu wa ndoa. Umesikia?”
“Sasa mama cha kufanya wataarifu ndugu zako waliokuja siku ile ya harusi ili wasije kuharibu. 

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA

ITAENDELEA JUMATATU

Post a Comment
Powered by Blogger.