NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA HAMSINI NA NNE(54)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Kwa kumbatio lile Jackline alijikuta akidondosha machozi ya furaha, uchungu na aibu. Machozi ya furaha kwa sababu alijikuta akiripuka kwa furaha isiyokifani mara baada ya kumuona mumewe Tinonko akiwa mbele ya macho yake. Machozi ya uchungu kwa sababu alipokumbuka kipindi kile alipopata taarifa za Kifo cha mumewe alikuwa amepitia maisha magumu sana ya maombolezo ya kuondokewa na mpendwa wake. 
Machozi ya aibu yalitokana na ukweli kwamba Jackline alijisikia aibu kwa mambo mawili la kwanza ni kuhusu suala lake la kuolewa na mwanaume mwingine ikiwa ni miezi mitano tu tangu taarifa za kifo cha Tinonko zizagae na aibu nyingine ni ile ya kumtelekeza mama mkwe wake hospitali.
Jackline akajikuta kichwa chake kikajaa huzuni na kujishtukia kulikopita kikomo.
Tinonko alikuwa akijua kila kitu kilichotokea na alijua kwa vyovyote Jackline atakuwa kwenye mtihani mkubwa mara baada ya yeye kurudi nyumbani, lakini akaapa kusahau makosa yote aliyoyafanya Jackline akijipa 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA

ITAENDELEA JUMAPILIPost a Comment
Powered by Blogger.