MASHABIKI WAVAMIA UWANJANI NA KUMUANGUSHA NEYMAR MAZOEZINI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mchezaji nyota wa timu ya Barcelona Neymar amevamiwa na mashabiki akiwa mazoezini nchini Brazil wakati timu ya taifa ikianza mazoezi, kujiandaa na mchezo dhidi ya Colombia.Vijana wawili walivamia kiwanjani na kumkumbatia kwa furaha kiasi ya kujikuta wakianguka chini na mchezaji huyo ambaye alionekana kutokukerwa na kitendo hicho.
   Neymar akianguka chini baada ya kukumbatiwa na mashaniki wawili.
   Walinzi na wasaidizi wa timu wakijaribu kuwaondoa mashabiki hao waliomuangusha Neymar
Post a Comment
Powered by Blogger.