MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » KALA JEREMIAH - NYIMBO ZA KIJAMII ZINALIPA TOFAUTI NA WASANII WANAVYOFIKIRIA


Pamoja Blog 9/07/2016 02:20:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Msanii wa muziki Kala Jeremiah amewataka wasanii wenzake kufanya nyimbo za kijamii bila kuogopa kama zitafanya vizuri.
Akiongea na Bongo5 Jumatato hii, Kala amewataka wasanii kuacha kuogopa kufanya muziki wa kijamii kwa hofu ya kutofanya vizuri.
“Mimi ningewaambia wasanii wenzangu nyimbo za kijamii ndio nyimbo ambazo zinafanya vizuri bila taka kuumiza kichwa, nyimbo za kijamii zinalipa sana tofauti na wasanii wanavyofikiria, mimi nina wimbo wangu ‘Wanandoto’ umefanya vizuri sana, tena naweza kusimama jukwaani na msanii mwingine lakini mimi nikala shangwe la kufa mtu.Kwa hiyo mimi nawashauri tu, tuzikumbuke jamii tunazotoka,” alisema Kala.
Rapper huyo amesema wimbo ‘Wanandoto’ unampatia deal nyingi kubwa za kijamii tofauti na baadhi ya wasanii wanavyofikiria.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments