WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF MKOANI ARUSHA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kushoto, Mhandisi Mathew Mtigumwe(Singida), Dk Joel Bendera(Manyara), Said Meck Sadick(Kilimanjaro)na Martine Shighela(Tanga). 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki akifungua mkutano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(Tafas)walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Ladislaus Mwamanga na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick. 
Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf. 
Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida, Dk Joel Bendera wa Manyara(katikati) na Martine Shighela wa Tanga. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus Mwamanga akizungumza katika mkutano huo. 
Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo. 
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga,Godwini Gondwe akizungumza katika mkutano huo. 
Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo. 
Post a Comment
Powered by Blogger.