UHAMIAJI YAWAKAMATA RAIA WAWILI WA KIGENI WAKIFANYA KAZI SERIKALINI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Dkt. Esther Green Simon Mwenitumba raia wa Malawi ambaye alikuwa Mganga Mkuu katika kituo cha Afya Mburahati anatuhumiwa kufanya kazi Serikalini wakati si raia wa Tanzania.

Idara ya Uhamiaji nchini imewakamata Watu wawili ambao sio raia wa Tanzania, waliokuwa wakifanya kazi serikalini. Bahilanya Milingita (Congo) alikuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mwingine ni Dkt. Esther Green Simon Mwenitumba (Malawi) ambaye alikuwa Mganga Mkuu Kituo cha Afya Mburahati.

Bw.Bahilanya Milingita maarufu kwa jina la Roy Bilingita raia wa Congo ambaye anatuhumiwa kuingia nchini mwaka 1986 na kufanya kazi katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kinyume na sheria za nchi.
Post a Comment
Powered by Blogger.