TV 1 KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Joseph Sayi Mkurugenzi mkuu wa TV 1 akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kuonesha mechi za ligi kuu ya Uingereza  zitakazooneshwa kituo cha televisheni cha TV 1 inayopatikana kwenye king'amuzi cha Startimes
 Gillian Rugumamu Meneja masoko wa TV 1 akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kituo cha televisheni cha TV 1 kilivyojipanga kuonesha mechi za ligi kuu ya Uingereza itakayoaanza wiki ijayo.
DR.  Ricky Abdallah ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Soka Nchiniakizungumza na waandishi wa habari kuhusiama  na  uzinduzi wa kuonyesha Mechi za ligi kuu za Uingereza zitakazokuwa zinaonyeshwa na kituo cha TV 1 kuanzia msimu huu.
Meneja wa Uzalishaji wa Vipindi wa TV1, Mukhsin Mambo  akionesha waandishi wa habari sehemu ya itakayotumika kurushia matangazo ya mechi za ligi ya Uingereza zitakazorushwa kupitia kituo cha Televisheni cha TV 1

Post a Comment
Powered by Blogger.