MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » STAMINA AWACHANA WASANII WA BONGO


Pamoja Blog 8/03/2016 12:56:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Rapper Stamina amechukizwa na tabia ya wasanii wa Bongo anaowaelezea kama watu wasio na upendo na ushirikiano kwa wenzao.

Staa huyo aliyeachia remix ya wimbo ‘Mmeniroga’ akiwashirikisha Roma na Jay Moe, ameandika kwenye Instagram:

Tabia ya kutopeana tafu wenyewe kwa wenyewe ndo inaleta matabaka kwenye mziki. Mwenzako ana show sehemu, au ana nyimbo yake mpya anakutumia cover ya wimbo au ya show yake unaipata kabisa ila hutaki kupost tu. Cha ajabu za wengine ambao ndo unaamini washkaji zako unazipost fresh tu kwa mbwembwe zote.
Mtu mpaka ana namba yako maana yake tayari mnajuana na mna ukaribu pia, hata kama hamna ukaribu ila sababu ni msanii mwenzie we mpe tu support. Mnasubiri mpaka mtu afariki/afe ndo mnajifanya kupost r. I. P wakati hawezi hata kuona hiyo post yako.
Mnasubiri mpaka mtu awe ameathirika na madawa, au kapigika kimaisha ndo mnajifanya kupost picha au viclip vya video na kujifanya mnahuzunika. Me nikifa kausha tu usipost maana sitoona wala haitosaidia kama kipindi niko hai hukufanya hvyo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments