RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA ZIKAZOCHEZWA LEO HII HAPA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mchezo wa mpira wa miguu umeshika kasi duniani, umefanikiwa kuteka mashabiki kibao kutoka kwenye mabara yote. Ligi kuu ya Uingereza ndio ligi ambayo inafuatiliwa kwa ukaribu sana. Tazama ratiba ya mechi kwenye msimu mpya wa ligi hiyo wa mwkaka 2016/17 utakaoanza leo.

Hata hivyo ligi hiyo itaendelea siku ya Jumapili kwa mechi mbili kati ya AFC Bournemouth dhidi ya Manchester United na mechi nyingine ni Arsenal dhidi ya Liverpool huku siku ya Jumatatu timu ya Chelsea itacheza dhidi ya west Ham United.
Post a Comment
Powered by Blogger.