NDANDA FC YACHEZEA KICHAPO CHA BAO 3-1 KUTOKA KWA SIMBA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Wachwzaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo lililofungwa na Laudit Mavugo (wa pili kuli), katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa  Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Mussa Hassan Mgosio akibadilishana na kocha Msaidizi wa timu hiyo.
 Mavugo akiqwatoka wachezaji wa Ndanda FC.
 Beki wa Ndanda akichuana na mshambulijai wa Simba, Ibrahim Ajibu.

 Mavugo kulia akishangilia bao aliloifungia timu yake.
 Mshambuliaji wa Simba, Fredrick Blagnon akiwania mpira na mchezaji wa Ndanda, Kigi Makassy
 Mshambuliaji wa Simba, Fredrick Blagnon akipiga mpira wa kichwa na kupatia timu yake bao la pili.
 Kichuya akishangilia bao la tatu aliloifungia timu yake.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia.
Furaha ya ushindi.
Post a Comment
Powered by Blogger.