MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AKABIDHI VIFAA VYA KAZI KWA JESHI A POLISW WILAYA YA ILEJE
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene akipokea Risala kutoka kwa Ocd Wilaya Ileje
Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene, akikabidhi Laptop kwa OCD wa Wilaya ya Ileje kwa ajili ya kusaidia kazi katika Wilaya hiyo
Mbunge wa Ileje , Mh Janet Mbene, akikabidhi Matairi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ileje Hamida Mbogo
Mbunge wa Ileje, Mh. Janet Mbene akipokea mkono wa shukrani kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje Joseph Mkude mara baada ya kukabidhi laptop, Photocopy Mashine, Matairi na limu tano.
Post a Comment