MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » DIAMOND ANUNUA NYUMBA NCHINI AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUCHOKA KUKAA HOTELINI


Pamoja Blog 8/23/2016 01:51:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Msanii wa muziki wa Bongo flava, Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amefunguka sababu hasa iliyomfanya anunue nyumba ya makazi Ughaibuni nchini Afrika kusini.

Akizungumza jana, Simba amedai sababu kubwa ni yeye mwenyewe kupata urahisi wa makazi anapoenda kikazi nchini humo na urahisi wa familia yake ambayo imekuwa ikiishi huko pia.

Diamond amesema kilichomsukuma zaidi ni Mtoto wake Latiffah ‘Tiffah’ na mwingine ambaye ameweka wazi atazaliwa hivi karibuni.

“Mimi mwenyewe kwanza nipate urahisi wa makazi nikiwa kule, nimechoka kuhangaika mahotelini, lakini familia yangu ipo kule mwanangu Tiffah na mwingine ambaye anakaribia kuja kwa hiyo nawawekea mazingira bora wasijeona kwamba baba anazalisha tu” Alisema.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments