DC GABRIEL DAQARRO AAPISHWA AAHIDI MAKUBWA ARUSHA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkuu wa wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro akiapa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. 
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa wilaya mpya ya Arusha, Gabriel Daqarro(kulia)wanaoshuhudia ni Katibu Tawala mkoa, Richard Kwitega na Afisa wa Itifaki, Mukhsin Khasim.
Viongozi mbalimbali katika Jiji la Arusha wakifatilia tukio hilo.
Mwenyekiti wa CCM na Mbunge mstaafu wa Longido, Lekule Laizer (kushoto) akimskiliza Mjumbe wa mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Arusha DC, Mathias Manga.
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa.
Picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.
Post a Comment
Powered by Blogger.