CHRIS BROWN AKAMATWA NA POLISI KWA MADAI YA KUMTISHIA MTU KWA SILAHA NZITO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Chris Brown amekamatwa na polisi wa LAPD kwa madai kuwa amemtishia mtu kwa silaha nzito.
Baylee Curran alimshutumu Brown kwa kumtishia na bunduki yake huko Tarzana, Calif. Mrembo huyo aliyekuwa akijirusha na Brown kabla ya hapo, anadai kuwa ugomvi ulizuka baada ya kuonesha kutamani midani zake za madini.
Muimbaji huyo alidai kumfukuza msichana huyo na kumtishia na bunduki.
Maofisa wa polisi waliwasili kwenye eneo la tukio saa tisa alfajiri Jumanne hii baada ya simu ya 911 kupigwa na mwanamke aliyehitaji msaada. Curran alipeleka mashtaka polisi na kukatolewa hati ya kufanywa msako.
Wakati wa uchunguzi, Brown anadaiwa kutupa begi lake dogo nje ya dirisa ambamo kulikuwa na bunduki mbili na madawa, kwa mujibu wa mtandao wa TMZ.
Baada ya kulitupa, Breezy anadaiwa kupiga yowe ‘come and get me.’
Kwa sasa amechukuliwa kwenye kitengo cha ‘Robbery Homicide’ kwenye LAPD.
Awali, Brown alitumia Instagram kukanusha madai hayo.

“I’m sleep half the damn night. I just wake up and all these motherfuckin’ helicopter choppers is around, police out there at the gate. Come on, my ni**a. What the fuck else y’all want from me, bro? I stay out of the way, take care of my daughter, do work. I don’t even fuck ugly bitches, triflin’ bitches. Whatever the fuck it is, I’m not on that, bro…I’m innocent. Fuck everybody,” anasema kwenye moja ya video hizo.
Brown alikamilisha probation yake ya miaka mitano, mwaka jana ya tukio la kumshambulia Rihanna. Hii inaweza kuwa kesi itakayomsumbua kwa mara nyingine tena.
Post a Comment
Powered by Blogger.