MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » ARGENTINA YA MTEUA BAUZA KUWA KOCHA MPYA


Pamoja Blog 8/02/2016 01:41:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Chama cha soka cha Argentina (AFA)kimemteua kocha Edgardo Bauza kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa.
Kocha huyu anachukua nafasi iliyoachwa na Gerardo “Tata” Martino aliyejiuzulu baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la Copa America.

AFA walimtangaza kocha huyo baada ya klabu ya Sao Paulo kukubali kumuachia kocha huyo kwenda kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Argentina.
Bauza, mwenye umri wa miaka 58,alikua kocha mkuu mkuu wa klabu ya Sau Paulo toka mwaka 2015 na kuisaidia kufika nusu fainali ya michuano ya Copa Libertadores.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments