Anikwa Kuonyeshwa Channel ya ST Swahili kupitia Startimes Saa tatu usiku

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Katika Hali ya Kawaida Ushawahi kuona mtu akifumaniwa anakuwa kwenye Hali gani? Je Ushawahi Kufumaniwa? Je Ushawahi kuona mchepuko akimfumaniwa? Je Mume au Mke?

Basi haya yote utayapata kwenye Kipindi cha ANIKWA kitakachoanza kurushwa tarehe 06.08.2016 kupitia Channel ya ST Swahili inayopatikana kwenye King'amuzi cha Startimes pekee kuanzia Saa tatu Usiku kila Jumamosi.
Post a Comment
Powered by Blogger.