WASHINDI WA PROMOSHENI YA JIJENGE NA TWIGA CEMENT WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Charles Chale mkazi wa Gongo la mboto akieleza jinsi gani alivyoshinda zawadi hiyo ya mifuko ya simenti 400 kwente promosheni ya ‘Jijenge na Twiga Cement’
Meneja Usambazaji wa Twiga Cement, Tumain Joseph (kulia), akiuliza swali kwa mshindi wa promosheni ya ‘Jijenge na Twiga Cement’, Robert Kassim aliyejishindia mifuko 600 ya sementi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko, Simon Delens.
Mshindi wa promosheni ya ‘Jijenge na Twiga Cement’, Robert Kassim akizungumza jambo baada ya kushinda mifuko miasita(600) ya simenti
Picha ya Pamoja
Post a Comment