MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » WANAJESHI 2,839 WAKAMATWA BAADA YA JARIBIO LAO LA MAPINDUZI KUSHINDWA


Pamoja Blog 7/17/2016 03:07:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yildirim amesema wanajeshi 2,839 wakiwemo maafisa wa ngazi za juu, wamekamatwa baada ya jaribio la mapinduzi lililozimwa.
Miongoni mwa wanaoshikiliwa wamo majenerali wawilia wa jeshi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.

Waziri Mkuu huyo ameliita jaribio hilo la mapinduzi kama doa jeusi katika demokrasia, na kueleza kuwa raia 161 wameuwawa na wengine 1,440 wamejeruhiwa.
Raia wenye hasira wakiwadunda wanajeshi baada ya kuwadhibiti na kuzima jaribio lao la mapinduzi
    Mwanajeshi aliyedhibitiwa na raia akipigwa ngumi nzito ya shavuni na mmoja wa raia

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments