VIDEO: MKE WA DONALD TRUMP AGEZA HOTUBA YA MICHELLE OBAMA ALIYOTOA MWAKA 2008

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mke wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Bi. Melania, amegeza sehemu ya hotuba ya Michelle Obama aliyoitoa mwaka 2008.

Melania alikuwa akihutubia jana kwenye mkutano mkuu wa chama Republican. Kashfa hiyo tayari imefunika hotuba yake na kumekuwepo na mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Kambi ya Trump imetoa maelezo kuhusiana na suala hilo japo haikuelezea kugeza sehemu ya hotuba ya first lady huyo wa sasa.
“In writing her beautiful speech, Melania’s team of writers took notes on her life’s inspirations, and in some instances included fragments that reflected her own thinking. Melania’s immigrant experience and love for America shone through in her speech, which made it such a success,” alisema Mshauri mkuu wa mawasiliano, Jason Miller.
Post a Comment
Powered by Blogger.