MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » RC DODOMA ASITISHA KAZI YA KUHAMIA MKOANI HUMO KWA SIKU 14


Pamoja Blog 7/30/2016 02:01:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amezitaka wizara na taasisi za Serikali kusubiri kwa siku 14 ili utolewe kwanza utaratibu wa jinsi ya kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kuhamia mjini Dodoma.

Mbali ya Rugimbana kuzuia wizara na taasisi zake kuanza kuhamia katika mji huo ambao ni makao makuu ya Serikali, pia amepiga marufuku uuzaji wa viwanja kusubiri utaratibu huo unaofanyiwa kazi na kikosi kazi kilichoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Julai 26, mwaka huu.

Chanzo: Mwananchi

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments