PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA MOJA(121)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Hayaaaaa!!! Alex huyooo!! Nitatokaje?"alijiuliza Shamim akiwa pale juu ya daro. Aliangalia upande aliosimama Alex na upande waliosimama wale askari zilikuwa pande mbili tofauti kabisa. Kwa sababu hiyo alipaswa achague ni sehemu gani nyepesi ya kshukia!!?? Ni ule upande walipo askari wakiwa wamezagaa sana??
 Au ni kule alipo Alex. Wakati yupo kwenye lindi la mawazo ya uamuzi alishangaa kuona vijana wanne walioonekana kuwa na asili ya Kiarabu wakitoka kwenye gari na kusimama pembeni ya Alex wakijadiliana naye kitu.
"Mmmmmmmh!! Bora askari wa Kibongo uwezo wao ni wa kawaida sana! Waarabu tena??? Hapana sitaki shida"akawaza. "Bosi tunaachia mabomu ya machozi ili kuwatawanya hawa utoke"earphone ndogo alizovaa zilimpa ripoti kutoka kwa vijana wake. "Hapana!! Msifanye hivyo! Toeni gari eneo hilo na muelekeeo wa kaskazini nitawakuta huko"

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.