PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA TISA(119)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Afande Mwita akiwa kwenye gari ya nyuma ya ile iliyombeba Shamim alifanikiwa kuona yale mapambano ya Shamim na wale askari wake ambayo yalifanyika kwa sekunde chache sana na kwa kasi ya ajabu. Kabla hajanyenyua mdomo wake kusema chochote kwa wale askari aliokuwa nao kwenyeile gari Shamim alikuwa keshawazimisha askari wote aliokuwa nao kwenye ile gari.
Afande Mwita alikiri moyoni kuwa yule hakuwa binadamu wa kawaida kutokana na kasi aliyoitumia kupambana na vijana wake. 
"Afande anawamaliza wenzetu"alishtuliwa na sauti ya dereva wake aliyeshuhudia pia yale mapambano wakati huo yeye alikuwa kwenye lindi la mawazo akiwaza na kujalibu kumtafsiri yule kiumbe aliyekuwa akipambana pale. "Ni jini kweli? Shetani au mtu? Mbona sijawahi kuona binadam mwenye kasi ya ajabu kama ile Mungu wangu!

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.