PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA NANE(118)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu."Una uhakika kuwa mmemkamata ndugu yangu?"akauliza Alex. "Ninavyoongea hapa gari iliyombeba iko hapa mbele yangu na tunaelekea kituoni"akasema afande Mwita. "Mmewatarifu viongozi wenu juuu ya kukamatwa kwake?"akauliza Alex. "Hatujawataarifu ila najua wanaweza kuwa wamezipata taarifa kwani mawasiliano yetu yanatumia redio calls hivyo ripoti ya kukamatwa kwake imesambaa kwa sababu alikamatwa na askari ambao hawakuwa doria kwa sababu mauaji aliyafanyia kwenye kota za polisi"akasema afande Mwita.
 "Kwa hiyo uwezekano wa kuzuia ripoti isifike kwa wakubwa ni ngumu"akauliza Alex.
"Itakuwa ngumu kaka yangu kwani wewe ulimtaka bila asifikishwe kwa wakubwa? Au ulimtaka mwenyewe?"akauliza afande Mwita. "Huyu mwanamke anatakiwa na wakubwa zangu huko Dubai kwa sababu kuna mambo makubwa sana kayafanya huko mabaya!"akasema Alex. "Alifanya nini? Au alifanya mauaji?

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.