PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA SABA(117)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Hakuna aliyeamini alichokiona mbele ya macho yake kati ya wale askari wote wanne waliokuwa pale. Pombe yote iliwaisha na wakajikuta wakishikwa na wahka mkubwa juu ya kile kilichokuwa kinatokea mbele yao. Shamim hakuwapa nafasi ya kufikilia mara mbili kabla shingo ya mmoja wao haijadondoka chini na kuuacha mwili umesimama wenyewe bila balance na baaada ya muda ukadondoka.
"Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!" kelele ilimtoka mmoja wao na kuwashtua askari waliokuwa kalibu na makazi hayo yao ambao hawakuwa na shfti ua usiku kwa siku hiyo. Shamim aliruka na kumdaka mwingine na kumnyonga huku wale wengine wakipata nafasi ya kukimbia. Kukimbia kwa wale kabla hajatimiza lengo kilikuwa kikwazo kwake kwa sababu walienda njia tofauti tofauti. 

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.