PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA SITA(116)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Lily alishtushwa na lile ombi la Alex la kwenda kuonana na wale wageni wake ambao yeye aliwatambua vizuri na wao wakimtambua. "Kwani lazima nionane nao sasa hivi?"akauliza Lily. "Yah! Ni vizuri kwa sababu huyo jamaa ni Askari na angependa akusaidie katika hili jambo lako"akasema Alex. "Hapana baby kwa hali niliyonayo sitaweza kwenda naomba tu uwaache waende kisha nikiwa sawa utanikutanisha naye! Siwezi kwenda kwao kwa hali niliyonayo"akasema Lily.
" Huwezi jitahidi mama?"akauliza. "Hapana babaa itakuwa ngumu kwenda hivi nilivyo naomba kesho uwape appointment tutaonana"akasema Lily. "Haya mama nimekwelewa"akasema Alex. Alex aliondoka pale ndani na kurudi sebuleni alipowaacha wale askari na vijana wake. "Samahani kwa usumbufu bosi"akasema Alex. "Usijal vip shem mbona hajaja?"akauliza yule askari.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.