PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA TANO(115)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Lily alishtuka sana kuwaona wale askari ambao walikuwa wakimfahamu yeye na wale vijana wake pale nje wakiwa na Alex. "John utabaki hapa nyie wengine nendeni chumba cha wageni na kaeni tayali na silaha zenu kwa lolote litakalotokea"akatoa maagizo. Alisimama dirishani akachungulia nje kumwona Alex akishuka kutoka garini na wale askari. "Rama nahitaji utengeneze namna ya kutoweza kujulikana kwa yeyote yulekama itawabidi kuingia ndani kuonana na mimi kataa kuwa hali yangu si nzuri"akasema.
Aliondoka na kwenda chumbani kwake na kupanda kitandani kisha akajikamuliza rimao za kutosha usoni mpaka macho yake yakawa mekundu kwa machozi kisha akachukua pilipili akatafuna nzima nzima. Ule ukali wa pilipili ukamuumiza sana na yeye akajikaza na kile kitendo cha kujikaza kikamfanya azidi kuwa mwekundu usoni na machoni pale. Rama aliingia chumbani na kuvaa nguo zilizochakaa sana kisha akavaa kapelo na kujiziba usoni kisha akatoka na kufungua mlango. "Kalibuni"akawaambia.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.