PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA TISA(139)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Watu watano walikuwa kwenye chumba kidogo sana na cha siri katika jengo la Usalama wa Taifa wakijadiliana jambo nyeti sana kwa nchi yao ambalo walipaswa kulitekeleza siku hiyo hiyo. Mkuu wa Majeshi bwana Kisaba Mkuu wa Usalama wa nchi bwana Kajuni Waziri wa Ulinzi bwana Herman
Waziri wa mambo ya ndani bwana Gady Na mpelelezi maarufu nchini bwaa Martin Mpao "Kijana naomba nikukumbushe kuwa unayemzungumzia ni gaidi mzoefu na ambaye ameshatuacha solemba zaidi ya mara mbili!!!"alisema Herman. "Na uhakika kiongozi na ninachowaambia! Mlinipa kazi ya kufatilia hii kesi na hatimaye nimekuja na majibu kwa nini msiniamin? Nawahakikishia ni yeye kabisa"akajib Martini.
"Jaman tusirumbane! Hapa tupange mikakati juu ya cha kufanya! Na tuwe na tahadhali ya kutosha sana kwa sababu mtu mwenyewe yule ni kama jini"Akasema Kajuni. "Kwani kijana wewe umejipanga vip na hili swala?"akauliza Gadi. "Nimeshaandaa vijana wangu na askari kama kumi ili wazingire uwanja wa Taifa pale ili akishuka tu tumtie mikononi na kumleta huku"akasema Martini.UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.