PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA NANE(138)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Tangu Alex jr alipokuwa mdogo malengo ya Shamim yalikuwa kumfanya mtoto wa kipekee sana. Alianza kumpa mafunzo hatari sana tangu kipindi hicho ili kumfanya aone kama sehemu ya maisha yake. Pamoja na kupelekwa shule ila Shamim aligombana sana na Junior juu ya swala la kumpeleka mtoto yule shule ya kulala huko huko kwa sababu alitaka awe tofauti na watoto wengine.
Miaka mitatu aliyokuwa nayo Alex jr ilitosha kuanza mazoezi makali na ya uhakika ya kumfanya zaidi ya komandoo wa kawaida. Wakati mwingine Shamim aliomba ruhusa kwA Junior ya kusafiri akapumzike na mwanaye kwenye fukwe mbali mbali za nchii hii ya Marekani na kwa sababu Junior alikuwa busy sana na kusimamia biashara walizofungua kwenye mji huu aliwaachia wakaenda wenyewe.
Trip hizo ambazo zilikuwa zikichukua hata wiki mbili Shamim alikuwa akielekea China au Japan na mara chache sana alielekea Korea kwa walimu mabudha waliokuwa na uwezo mkubwa wa kutoa mafunzo kwa ili kumpa mwanaye mafunzo makali sana yatakayomfanya aweze kupambana na mtu yeyote yule Duniani hapa.UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWAITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.