PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA SITA (136)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Wakati Kisu anajiandaa kutoka Dar kuelekea Iringa alipewa maelekezo ya kazi anayoenda kuifanya na Shamim vizuri. "Namhitaji yule mwanaume kwa sababu nampenda sana na pia nina kiumbe chake tumboni! Nisingependa kuona mwanangu hamfaham baba yake"alisema Shamim.
"Kwa hiyo mimi naenda kufanya nini Iringa sasa? 
Na si ni yeye aliyekusaliti?"akauliza Kisu. "Yule mdogo wangu ambaye amekuwa mwiba kwenye uhusiano wangu na yule kijana ndiye natafuta namna ya kumwondoa Duniani"akasema Shamim. "Kwa hiyo unataka nimuue yule binti waliyenaye?"akauliza Kisu. "yap! Nahitaji yule binti aondoke Duniani ila nataka tucheze michezo miwili kwa wakati mmoja"akasema Shamim. "Michezo gan?"akauliza Kisu.
"Nahitaj kuwapoteza maboya serikali na pia kumpoteza boya Abdul hivyo nahitaj Junior aonekane kafa kwa macho ya wengi ila siri yake nibaki nayo mimi na wewe"Akasema Shamim. "Kivip?"akauliza Kisu. "Ukifika mpige risasi ya kifuani kwenye moyo yule binti mbele ya Junior! Kisha mpige na Junior risasi ya bega la kulia"akasema Shamim. "Baada ya hapo?"akauliza Shamim.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.