PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA MIA MOJA THELASINI NA TANO (135)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Abdul hakuamini kile kilichotokea pale alipowakuta vijana wake wakiwa chini hawana uhai. Wakati akihangaika kuziangalia zile maiti alikututana na ujumbe kwenye karatasi moja ikiwa chini. "UKIENDELEA KUNIFATILIA ITAFATA ZAMU YAKO" aliusoma kwa makini ule ujumbe na kujikuta akizidi kutishika juu ya shamim. Hakumwambia mtu chochote kati ya wale vijana wake aliokuwa nao bali aligeuka na kupanda gari yake kisha akaondoka eneo lile. Alifika kwenye ile nyumba waliyofikia na vijana wake akaingia moja kwa moja ndani.
Alipitiliza mpaka chumbani kwake ili apate nafasi ya kupumzika na kuwaza cha kufanya juu ya Shamim. "Kalibu sana"sauti ya Shamim ilimpokea chumbani. Alishtuka sana tena sana!!!! Kumkuta Shamim akiwa ndani kwake ametulia akimwangalia. "Aa..umei..."alijikuta kigugumizi kikimshika na kushindwa kuongea chochote.
Ghafla akili ikamjia na akapeleka mkono wake kiunoni ili achukue silaha kwani alishaona dalili za mapambano zimeshaanza. 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.